Ijumaa, 17 Julai 2015

RAHEEM STERLING AUNGANA NA WENZAKE MAN CITY NA KUFANYA NAO MAZOEZI KWA MARA YA KWANZA MJINI AUSTRALIA


Raheem sterling kwa furaha akiteta jambo na Wenzake alipofanya Mazoezi kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na Klabu hiyo ya Manchester City huko Australia kwenye Ziara.Wachezaji wa City wakifanya mazoezi kujiandaa na Msimu mpya wa 2-15/2016Kwa Mara ya KwanzaYaya Toure nae alikuwemo kwenye mazoeziSterling katikati akifanya zoeziNi mazoezi kujiandaa na mechi za kirafiki katika kujiandaa na msimu mpya ujaoMazoezi ya nguvu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni