KAGAME CUP 2015: AZAM FC 1 - 0 KCCA,
AZAM FC imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na
Kati, Kombe la Kagame baada ya kuwafunga KCCA ya Uganda bao 1-0 jioni ya
leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mfungaji wa bao hilo la pekee ni
Nahodha, John Raphael Bocco Kipindi cha kwanza na Kipindi cha pili
hakuna aliyeziona nyavu za mwenzake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni