FABIAN DELPH ATAMBULISHWA MANCHESTER CITY ETIHAD, APEWA JEZI NO. 18
Fabian Delph akitambulishwa huko Manchester City Etihad
Kapewa Jezi No. 18Wakipata picha na ShabikiKaribu Etihad
Delph vipimo vilienda safi Delph amejiunga na City kwa kitita cha £8million Delph akionesha jezi yake Delph tayari kuiletea Makombe City Mike Summerbee alipokutana na Delph na kumwivishia jezi yake Kitu cha Delph tayari kwa kuvaliwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni