AFCON 2017: EGYPT 1 vs 2 CAMEROON, NICOLAS NA VINCENT WAIONGOZA CAMEROON KULIPA KISASI NA KUTWAA KOMBE!
Bao la Egypt lilifungwa na Mohamed Elneny dakika ya (22')
Huku Nicolas N'Koulou akiisawazishia bao dakika ya (59') kipindi cha
pili na dakika za lala salama Vincent Aboubakar aliipa bao dakika ya
(88') na mtanange kumalizika kwa 2-1.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni