MTU MMOJA AKAMATWA AKILANGUA KADI ZA SELCOM NJE YA UWANJA WA TAIFA LEO KWA AJILI YA MCHEZO WA SIMBA NA YANGA
Jamaa wakilangua kadi za selcom kwa ajili ya mchezo wa Simba na Yanga nje ya Uwanja wa Taifa leo Hapa
anarudisha pesa kwa watu baada ya wandishi wa habari kukisanua na
kusaidiwa na askari mmoja wa JWTZ ambaye akutaka kupigwa picha wala
kutaja jina lake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni