Jumapili, 17 Julai 2016

Cheka kidogo na JK comedian alivyowaigiza sauti za original comedy



JK Comedian ni mchekeshaji ambaye amebarikiwa kipaji cha kuweza kuigiza sauti za watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa Tanzania, leo katuonyesha ubora wake kwa kuziigiza sauti za wachekeshaji wa kundi la original comedy linaloundwa na mastaa kama vile Masanja, Joti, Mpoki, Wakuvanga na Makregani.
Unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini kisha niachie comment yako ukiniambia ni sauti ya nani katisha nayo zaidi…

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni