Jumatatu, 27 Juni 2016

Alichokiongea Diamond Platnumz baada ya Tuzo za BET



June 27 2016 kuna story nyingi za Entertaiment zimechukua Headlines na moja kati ya story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hizi kutoka Perfecto TV,  Diamond Platnumz amefunguka baada ya tuzo aliyokuwa akiwania kwenda kwa Black Coffee wa South Africa.

Kila kitu kimeenda fresh na tuzo za Afrika zimeenda kwa Black Coffee, unatakiwa umshukuru mungu kwa kila kinachotokea na hata ukiangalia kwa mwaka jana Tanzania ndio Nchi ambayo imepokea tuzo nyingi sana za Internationa kwa hiyo watu waendelee tu kussuport‘  Diamond Platnumz

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni