SAFU
ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, imekamilika
Jana na Timu za England, Arsenal na Chelsea, zilishinda hapo Jana na
kutinga Mtoano.
Timu hizo zinaungana na Chelsea iliyofuzu mapema ikiwa na Mechi 2 mkononi.
Juzi Man United ilitolewa UCL na kutupwa UEFA EUROPA LIGI baada ya kumaliza Nafasi ya 3 kwenye Kundi B.
Man United sasa itacheza Raundi ya Mtoano ya Timu 32 ya Kombe hilo.
Droo za kupanga Mechi za Raundi ya Mtoano ya UCL na ile ya EUROPA LIGI itafanyika Desemba 14.
Giroud akishangilia mbele ya Meneja Wenger

3-0

Bao hilo lilifungwa kwa kupitia mkwaju wa penati

Kipa Roberto hakuona ndani

Giroud akishangilia bao lake

Giroud pia ndie aliyefunga bao la pili na kufanya 2-0

Pongezi zikiambatana na mshangao!

Meneja Arsene Wenger

Flamini na Kassami wakigombea mpira wa kichwa

Kikosi cha Arsenal

Arsene Wenger na Msaidizi wake

Kabla ya Mechi!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni