Kona ya Mesut Ozil ikiunganishwa na Kichwa cha Gabriel na Bao la Ozil limewapa Arsenal ushindi wa Bao 2-0 walipocheza na Bournemouth Uwanjani Emirates na kutwaa uongozi wa Ligi Kuu England.
Uongozi huu wa Arsenal unaweza kudumu hadi Jumanne Usiku wakati Leicester City, wakiwa Nyumbani, watacheza na Man City na ushindi kwao utawatoa Arsenal kwenye usukani.






Hakuna maoni:
Chapisha Maoni