Dakika ya
55 kipindi cha pili Arjen Robben aliipa bao la nne Bayern na kufanya
matokeo kuwa 4-0 dhidi ya Arsenal baada ya kupokea mpira kutoka kwa
David Alaba. Bao la Arsenal limefungwa
na Olivier Giroud dakika ya 69 na kufanya 4-1. Thomas Müller aliandika
bao la tano dakika ya 89 na mtanange kumalizika kwa 5-1 dhidi ya
Arsenal.


4-0
Robert Lewandowski akishangilia bao lake.
David Alaba dakika ya 44 aliipachikia Bayern bao la tatu na kufanya mtanange kwenda mapumziko kwa 3-0 dhidi ya Timu ya Arsenal

Menenja wa Arsenal, Arsene Wenger

Robert Lewandowski dakika ya 10 kaifungia bao la kuongoza Bayern Munich kwa kufanya 1-0 dhidi ya Arsenal, Bao la pili kalifunga Thomas Müller dakika ya 29 baada ya kupata mpira ktoka kwa Kingsley Coman.
Akitupia nyavuni..


Kikosi cha Bayern kilichoanza dhidi ya Arsenal usiku huu

Ozil

VIKOSI:
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Boateng, Javi Martinez, Alaba, Alonso, Coman, Muller, Thiago, Douglas Costa, Lewandowski.
Akiba: Ulreich, Benatia, Robben, Rafinha, Badstuber, Vidal, Kimmich.
Arsenal: Cech, Debuchy, Mertesacker, Gabriel, Monreal, Coquelin, Cazorla, Campbell, Ozil, Sanchez, Giroud.
Akiba: Macey, Gibbs, Koscielny, Flamini, Chambers, Iwobi, Reine-Adelaide.
Refa: Gianluca Rocchi (Italy)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni