
Ozil akishangilia bao lake la kwanza
Alexis
Sanchez nae akipeta baada ya kufunga bao la pili na kufanya 2-0. Alexis
pia kipindi cha pili dakika ya 69 alipachika bao la tatu na kufanya
3-0.
Pongezi kwa Alexis

Alexis akiponggezwa..


Shngwe mbele ya Mashabiki

1-0

Alexis Sanchez akifanya yake kwa kuachia shuti kali

Pongezi kwa Ozil

BAO l kwanza la Arsenal limefungwa na
Mesut Özil kipindi cha kwanza dakika ya 29 na Alexis Sánchez
akaifungisia bao la pili dakika ya 33 baada ya kuongeza Mashambulizi
kwenye lango la Timu ya Dinamo Zagreb na kuwabana kwa kubaki
wakishangaa katika kipindi hicho cha kwanza.

Meneja Arsene Wenger

Joel

Kikosi cha Arsenal kilichoanza dhidi ya Dinamo Zagreb
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni