Jumatatu, 23 Novemba 2015

FULL TIME: MANCHESTER CITY 1 v 4 LIVERPOOL, COUTINHO, SKRTEL NA FIRMINO WAFANYA KWELI LEO MBELE YA KLOPP... WAMPIGA CITY KWAO ETIHAD


Adam Lallana akifurahia Ushindi kwenye Uwanja wa Etihad baada ya Eliaquim Mangala (katikati) kujifunga.
Philippe Coutinho akishangilia bao lake

Firmino alifanya 3-0

Straika wa Man City  Sergio Aguero ndie aliyewapa bao la kufutia machozi Etihad

Manchester City walipata bao lao kupitia kwa Sergio Agüero dakika ya 44 na bao kuwa 3-1.
Liverpool walipata bao kupitia kwa Eliaquim Mangala aliyejifunga bao mapema dakika ya 7 na bao la pili lilifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 23 na lile la Roberto Firmino dakika ya 32. 


Dakika ya 81 Martin Skrtel alipiga bao la 4 na kufanya matokeo kuwa 4-1 dhidi ya Timu ya Manchester City.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni