
Arsenal wamechapwa Mechi zao zote mbili za Kundi F kutoka kwa Dinamo Zagreb na Olympiakos na wapo mkiani mwa Kundi hilo na Mechi zao 2 zinazofuata ni dhidi ya Mabingwa wa Germany Bayern Munich.

Hii si Mechi rahisi kwa Arsenal kwani Bayern watatinga Jijini London Uwanjani Emirates wakiwa na wimbi la ushindi la Mechi 12 mfululizo.

Arsenal hivi sasa wapo kwenye wimbi zuri la ushindi kwenye Ligi Kuu England ambalo limewapaisha hadi Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 2 tu nyuma ya Vinara Man City.


MAKUNDI
Jumanne Oktoba 20
KUNDI E
BATE Borislov v Barcelona
Bayer Leverkusen v AS Roma
KUNDI F
Arsenal v Bayern Munich
Dinamo Zagreb v Olympiakos
KUNDI G
Dynamo Kiev v Chelsea
FC Porto v Maccabi Tel Aviv
KUNDI H
Valencia v KAA Gent
Zenit Saint Petersburg v Lyon
Jumatano Oktoba 21
KUNDI A
Malmö FF v Shakhtar Donetsk
Paris St Germaine v Real Madrid
KUNDI B
CSKA v Man United
VfL Wolfsburg v PSV
KUNDI C
Atletico Madrid v FC Astana
Galatasaray v Benfica
KUNDI D
Juventus v Borussia Mönchengladbach
Man City v Sevilla
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni