Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la
Buseresere, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na
kampeni leo
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
alipozunguza na waliposimamisha msafara wake katika eneo la
Buseresere, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na
kampeni leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi
Mgombea Ubunge jimbo la Chato kwa tiketi ya CCM, Dk. Karineli katika
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo.
Mkuu
wa mkoa wa Kagera, John Mongela akijadili jambo na Mgombea Ubunge jimbo
la Bukoba Mjini Balozi Hamis Kagasheki wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika jimbo hilo.
Mgombea
Ubunge jimbo la Muleba Kaskazini mkoani Kagera, Charles Mwijage akiomba
kura kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
jimbo hilo
Wananchi Buseresere
Mwana
mama akiwa kazini wakati msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM,Mama Samia Suluhu Hassan aliposimamishwa na wananchi katika eneo
la Buseresere mkoai Geita leo
Wananchi
wakitazama msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
ulipopita eneo la Chato mkoani Kagera, huku wakiwa karibu na bango la
shule inayotumia jina a Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Dk. John
Magufuli
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la
Chato, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na
kampeni leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la
Chato, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na
kampeni leo
Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
alipowasalimia katika eneo la
Chato, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na
kampeni leo
Wananchi
wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, alipowahutubia
waliposimamisha msafara wake katika eneo la Chato mkoani Geita leo
Wananchi
wakimshangilia Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia
Suluhu Hassan alipowahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo
la Chato mkoani Geita leo
Msafara
wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama samia suluhu Hassan
ukiendelea na safari kwenda Muleba mkoani Kagera leo
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama samia suluhu
Hassan ukiendelea na safari kwenda Muleba mkoani Kagera leo
Mama
akiwa na mwanae wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Muleba
Kaskazini mkoani Kagera leo
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika leo katika jimbo la Muleba Kaskazini.
Bango la kumfagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Jihn Magufuli
katika mkutano wa kampeni jimbo la Muleba Kaskazini likiwa limeinuliwa
kumfikishia ujumbe Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan.
Wananchi wakishangilia kwenye mkutano wa kampeni jimbo la Muleba Kaskaskazini
Kazi na dawa!
Mtoto
akimfuata mwenzake kumnyang'anyana kijibendera cha CCM, wakati wa
mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika jimbo la Muleba Kaskazini
mkoani Kagera leo
Kisha wakanyang'anyana kama hivi
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi
Mgombea Ubunge jimbo la Muleba Kaskazini Charles Mwijage wakati wa
mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo. Kulia ni Mgombea
Ubunge jimbo la Meleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka.
Wagombea
Udiwani jimbo la Muleba Kaskazini, wakiwasalimia wanachi
walipotambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiagana na
wagombea Udiwani katika jimbo la Muleba Kaskazini, baada ya mkutano wa
kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo. Kulia ni Mratibu wa kampeni
za Mama Samia, Anhela Kizigha.
Mama Samia akiaga. wapili kushoto ni Profesa Anna Tibaijuka na watatu ni Charles Mwijage.
Kamachumu
Katerero
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akijadili
jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Bukoba mjini, Balozi Hamis Kagasheki,
wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani
Kagera.
Msanii
wa Bongo Movie Wema Sepetu akimuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya
CCM, Dk. John Magufuli, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo
katika jimbo la Bukoba mjini mkoani Kagera leo
Watu wakiserebuka wakati wa shamrashamra kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Bukoba Mjini
Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera leo
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni uiofanyika leo katika jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera leo
Mgomea
Ubunge jimbo la Bukoba mjini,Balozi Hamis Kagasheki akiomba kura wakati
wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo
Mbunge
wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Mratibu wa Kampeni za Mgombea Mwenza
wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na wadau wa
kampeni za Mama Samia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo
katika jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera. Kushoto ni Mwanamuziki Ally
Choky maarufu kwa jina na Mzee wa Farasi na Kiongozi wa kundi la Kampeni
la Mama Ongea na Mwano, Steven Mengere au Steve Nyerere.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Bukoba Mjini mkoani
Kagera leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.
Vijana
wa Buseresere, wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Mama Samaia Suluhu Hassan, msafara wake uliposimamishwa na vijana
katika eneo hilo wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba mkoani
Kagera leo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni