Jumamosi, 17 Oktoba 2015

LA LIGA, LIVE: REAL MADRID 3 vs 0 LEVANTE, CRISTIANO RONALDO AWEKA REKODI MPYAA NDANI YA REAL!!


Bao za Real Madrid zilifungwa kipindi cha kwanza na Marcelo dakika ya 27 na bao la pili kufungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 30. Bao la tatu lilifungwa na Jese dakika ya 81 na kufanya 3-0 dhidi ya Levante.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni