
Lamela akishangilia bao lake tatu kwa Spurs.

Kipa wa Spurs Hugo nae alishangilia bao hilo

Lamela mbele ya Mashabiki wa Spurs

3-1

Min Son nae alipongezwa kisawasawa kwa kuifungia Spurs bao mbili za mwanzo

Min Son akishangilia moja ya bao lake mbele ya Mashabiki wa Spurs

Raha ya bao!

Son


Patashika kwenye lango, Son akitupia bao

Wakisalimiana Mameneja wote wawili kabla ya mtanange

Kikosi cha Spurs kilichoanza

Kipa wa spurs katikati akishangaa jambo kwa nyuma!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni