Jumanne, 22 Septemba 2015

FC BAYERN MUNICH 5 vs 1 VFL WOLFSBURG, ROBERT LEWANDOWSKI APIGA HAT-TRICK NDANI YA DAKIKA 6 TU! AFUNGA BAO 5 NDANI YA DAKIKA TISA TU!


5-1Akishangilia moja ya bao zake leo usiku huu

Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuipiga vilivyo Wolfsburg

Balaa!

Lewandowski akishangilia baada ya kuifanyia maajabu timu yake na akitokea benchi
Akitupia nyavuni
Ndani ya dakika 9 Robert L. alikuwa ameshafunga bao 5 peke yake na kuipa ushindi mnono Bayern iliyokuwa nyumba ya bao 1-0 usiku huu na kuibuka kidedea kwa bao 5-1.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni