Alhamisi, 10 Septemba 2015

DE BRUYNE AUNGANA RASMI NA WENZAKE WA MAN CITY, AANZA KAZI...


Mchezaji mpya wa Manchester city, Kevin De Bruyne amekutana na wenzake kwa mara ya kwanza baada ya kuanza mazoezi arasmi jana.


Mchezaji huyo amekutana na wenzake katika uwanja wa mazoezi huku akionekana ni mwenye furaha.

City imemnunua raia huyo wa Ubelgiji kwa kitita cha pauni milioni 52 na kumfanya kuwa mmoja wa wachezaji ghali duniani.

Je, umewahi kuwaona wachezaji kama Vincent Kompany, David Silva, Raheem Sterling na wengine wanaingia mazoezini Ciy kabla ya mazoezi. Cheki mapichaz.






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni