Alhamisi, 27 Agosti 2015

PICHA 9 ZA MKONO WA SALEH ALLY KUTOKA MLIMANI ZIKIONYESHA STARS WAKIFANYA YAO KWA MBAAALI NDANI YA UTURUKI



Na Saleh Ally, Kartepe
Kikosi cha Taifa Stars chini ya Kocha Mkuu, Charles Boniface Mkwasa, kimeendelea na mazoezi kwenye moja ya viwanja vya The Green Park Hotel hapa katika mji huu mdogo wa Kartepe, Uturuki.


Mazoezi yalikuwa matamu na hizi ni picha 9 zilizopigwa kutoka mlimani na Saleh Ally 'Jembe' akitumia kamera yake ya kisasa kabisa, zinazoonyesha namna mazoezi yalivyokuwa nondo au shoka, ukizubaa umeumia.









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni