UHAMISHO 2015: SWANSEA CITY YAMSAJILI AYEW ANDRE, KUVAA JEZI NO. 10 MGONGONI!
Klabu
ya Swansea City inayokipiga Ligi Kuu England imethibitisha kumsaini
Mchezaji mpya @AyewAndre na atavaa jezi namba 10 kwa ukamilisho huo wa
ujio huo Ligi Kuu katika Klabu hiyo yenye Uwanja unaojulikana Liberty
Stadium.
Andre Ayew amesajiliwa kutoka kwenye Klabu ya Marseille.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni