
Waziri
mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa
shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja
wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kanda ya ziwa
baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba
jijini Mwanza Juni 10, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira
wakati alipofungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba
jijini Mwanza, Juni 10, 2015.

Msanii wa ngoma ya Kisukuma akicheza na nyoka aina ya chatu wakati
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza
amabko Juni 10, 2015 alifungua michezo ya UMISETA.

Baadhi ya washiriki wa mashindano ya UMISETA wakipita kwa mandamano
mbele ya mgeni rasmi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika ufunguzi wa
mashindano hayo kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10,
2015.

Waziri
mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa
shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja
wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa
kikapu ya kanda ya ziwa baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye
uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira wakati alipofungua mashindano ya
UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Juni 10, 2015.

Waziri
mkuu, Mizengo Pinda akirusha mpira wa kikapu wakati alipozindua
mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba Juni 10, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni