LEO
Republic of Ireland na England zilikutana na zilitoka Sare ya 0-0
katika Mechi ya Kirafiki iliyochezwa huko Dublin Nchini Ireland ikiwa ni
mara ya kwanza kwa Nchi hizo kukutana huko kwa zaidi ya Miaka 20 baada
ya Mechi yao ya mwisho Mwaka 1995 kuvunjika baada ya kutokea fujo za
Mashabiki.
Hii
Leo Mashabiki walipoa lakini Mechi yenyewe ilipooza kabisa pengine kila
Timu ikijilinda kwa ajili ya Mechi zao za Makundi ya EURO 2016 baadae
Wiki hii.
Kepteni wa England, Wayne Rooney, akiwania kuvunja Rekodi
ya Sir Bobby Charlton ya Bao 49 ya Ufungaji Bora kwa Timu ya England,
yeye akiwa na Bao 47, alikosa nafasi moja safi ya kufunga na kwa ujumla
alipooza katika uchezaji wake.
Mashabiki wa England wakisubiri kipute hicho mapema leo

Raheem sterling akipasha

Kikosi cha England hii leo

Taswira kamili

Kikosi cha England kikiwa tayari kupata picha ya pamoja na kuanza kipute cha kirafiki

Chris Smalling akichuana kuutafuta mpira

Phil Jones

Raheem akipatiwa huduma baada ya kuumia

Kipute kikiendelea
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni