Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk.Fenellah Mukangala (kulia) aliyekuwa mgeni rasmi katika fainali za mashindano ya Mtemvu CUP yaliyofikia tamati viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam jana. Timu zilizoingia ingia fainali hiyo ni Miburani Kata ya 15 na Kata ya 14 ambayo iliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0.
Nahodha wa Timu ya Kata 14,Uhuru Selemani akiwa ameinua kombe baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk.Fenellah Mukangala baada ya kuibuka washindi.
Mashabiki wakiwa kwenye fainali hizo.
Mchuano ukiendelea.
Hapa ni kazi tu kwa kwenda mbele.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni