Jumamosi, 13 Juni 2015

GODFATHER KUONGOZA VIDEO YA YAMOTO BAND, DIAMOND AIGHARAMIA.



Muongozaji wa video za muziki wa Afrika Kusini, Godfather ataongoza video ya wimbo mpya wa kundi la Yamond Band ‘Cheza Kimadoido’ na Diamond ndiye atakayeigharamikia. Meneja wa kundi hilo, Said Fella, amesema Yamoto Band watasafiri Jumatatu kuelekea nchini Afrika Kusini kushoot video hiyo. “Wiki ijayo tunatarajia kufanya video mpya ya Yamoto Band na Godfather atakuwa Director.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni