Jack
Wilshere dakika ya 73 aliifungia bao la kuongoza England kwa kufanya
2-1dhidi ya Slovania. Bao la tatu lilifungwa na Nahodha wa Timu hiyo
Wayne Rooney katika dakika za mwisho dakika ya 86 huku Slovenia
wakifungiwa bao la pili kupitia kwa Nejc Pecnik dakika ya 84.
Jack Wilshere aliisawazishia bao England kipindi cha pili dakika ya 57 na kufanya 1-1 wakiongozwa na Mwamuzi Undiano Mallenco. 
Kepteni wayne Rooney akitoa maelekezo

Wayne Rooney akiachia shuti kali

Rooney akijiuliza baada ya kuona wako nyuma ya 1-0

Slovania wakishangilia bao lao

1-0 kipindi cha kwanza kilimalizika!

Wayne Roone akijiuguza ankle mguu wake wa kulia

Gally Cahill akichuana na Milivoje Novakovic

Jack wilshere akipambana
Milivoje Novakovicndie
aliyewafungia bao la kuongoza kipindi cha kwanza dakika 37 na kwenda
mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya England.
Kokosi cha Timu ya Taifa ya England kilichoanza dhidi ya Slovenia

Kikosi cha Timu ya Slovenia

Raheem Sterling akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga bao
VIKOSI:
England: Hart; Jones, Cahill, Smalling, Gibbs; Henderson, Wilshere, Delph; Sterling, Rooney, Townsend.
Slovenia: Handanovic; Brecko, Ilic, Cesar, Jokic; Mertelj, Kurtic; Kampl, Ilicic, Kirm; Novakovic.
Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya England Bw. Roy Hodgson

Andros Townsend

Wayne Rooney akiwaongoza wenzake Ljubljana kwenye Uwanja wa Stozice Stadium
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni