Jumapili, 31 Mei 2015

COSAFA CUP: NAMIBIA MABINGWA 2015!

Namibia wamebeba COSAFA CUP kwa mara ya kwanza baada ya kuichapa Mozambique 2-0 kwenye Fainali iliyochezwa Moruleng Stadium huko Nchini South Africa.
Bao zote 2 za Namibia zilifungwa na Winga wao Deon Hotto.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni