WAIMBAJI KUTOKA UINGEREZA WATUA KUNOGESHA TAMASHA LA PASAKA JUMAPILI UWANJA WA TAIFA.
Nyakwesy Mujaya akimpa au mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Uingereza, Ifeanyi Kelechi.
Msama akipeana mkono na Ifeanyi Kelechi.
NA LOVENESS BERNARD MWIMBAJI wa kimataifa wa nyimbo za Injili kutoka nchini Uingereza, Ifeanyi Kelechi, ametua nchini kwa ajili ya kutumbuiza katika Tamasha la Pasaka litakalofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, siku ya jumapili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni