Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea kesho
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa
kuendelea kesho jumatano katika viwanja viwili nchini, jijini Tanga
wenyeji Maafande wa Mgambo Shooting watawakaribisha timu ya Azam FC
kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Mjini Morogoro wakata miwa wa Mtibwa
Sugar watakua wenyeji wa maafande wa jeshi la Magereza nchini timu ya
Tanzania Prisons kutoka Mbeya, mchezo utakaopigwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni