Jumatatu, 2 Machi 2015

MWILI WA HAYATI KEPTENI JOHN DAMIANO KOMBA WAWASILI SONGEA, TAYARI KWA MAZISHI LEO JUMANNE MARCH 3, 2015

Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM marehemu John Damiano Kumba ukipokelewa katika uwanja wa ndege wa Songe na umati mkubwa wa waombolezaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mhe.Mwambungu,Mhe.John Nchimbi,Mbunge wa Songea Mjini,na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Kazi Maalum)Mark Mwandosya,kulia. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Lituhi, Wilaya ya Nyasa, Kesho. Picha na Michuzi blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni