Ijumaa, 13 Machi 2015

KUHUSU AJALI NYINGINE TENA YA BASI ILIYOTOKEA LEO HUKO ARUSHA KUHUSU AJALI NYINGINE TENA YA BASI ILIYOTOKEA JANA HUKO ARUSHA

Ajali hii imetokea leo asubuhi eneo LA airport Arusha ambapo basi la Arusha express likielekea MBEYA kugongana na Lori lkn hakuna aliyepoteza Maisha Ingawa watu Wamejeruhiwa na Kupelekwa hospitali ya Mkoa Mt Meru...
Ajali hii imetokea baada ya dereva wa basi kujaribu ku-overtake na kukutana na lori mbele yake. Habari zinasema kuwa  abiria wa Lori ndiyo wameumia na kukimbizwa Hospitali


 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni