Raffael Araújo wa Borussia MonchengladbachBayern
Munich leo wamefungwa bao 2-0 bila kujitetea na mchezaji Raffael Araújo
wa Borussia Monchengladbach, Bao zilifungwa na dakika 30 na kipindi cha
pili dakika ya 77 na mchezaji huyo huyo Raffael Araújo. Bayern
Munich leo wamefungwa bao 2-0 bila kujitetea na mchezaji Raffael Araújo
wa Borussia Monchengladbach, Bao zilifungwa na dakika 30 na kipindi cha
pili dakika ya 77 na mchezaji huyo huyo Ushindi wa Borussia
Monchengladbach umewapandisha nafasi ya tatu wakiwa na pointi 47 na
Bayern Munich wapo kileleni wakiwa na pointi 64 mbele ya pointi 10
kutoka kwa mshindi wa pili Wolfsburg wenye pointi 54.
Kipa Manuel Neueralifanya makosa langoni mwake na mpira kuzama nyavunina
kupa bao la kwanza Borussia Monchengladbach, 1-0 kipindi cha kwanza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni