Ijumaa, 20 Februari 2015

MOSES BUSHANGAMA "MEZ B" AFARIKI DUNIA SIKU YA LEO



Mwanamuziki Moses Bushangama maarufu kama Mez B amefariki dunia. Mez B alikuwa mmoja wa wanamziki wanaounda kundi la Chamber squard,amefariki leo mjini Dodoma, habari hizi zimethibitishwa na mama yake mzazi.
R.I.P Mez B

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni