
Mpaka dakika 90 zinamalizika United 3 Burnley 1

Smalling akishangilia..
Van Persie alifunga bao la tatu kwa mkwaju wa penati baada ya Di Maria kuangushwa ndani ya boksi.
Mchezaji
wa Manchester United Chris Smalling aliingia kipindi cha kwanza
kuchukua nafasi ya Phil Jones aliyepata majeraha na ndani ya dakika
chache aliifungia bao la kwanza Man United katika dakika ya 6 na dakika
ya 45 mwishoni kipindi cha kwanza aliwafungia bao tena Man United na
kufanya 2-1 dhidi ya Burnley ambao wao walisawazisha mapema kupitia kwa
kichwa baada ya kupigwa krosi kama kona na Danny Ings kuipa bao Burnley
na mtanange kumaliza kipindi cha kwanza Man United wakiwa mbele ya bao
2-1 dhidi ya Burnley kwenye Uwana wa Manchester United.
VIKOSI:
Man Utd: De Gea, McNair, Jones, Evans, Rojo, Blind, Rooney, Januzaj, Di Maria, van Persie, Falcao.
Akiba: Mata, Smalling, Ander Herrera, Valencia, Fellaini, Valdes, Wilson.
Burnley: Heaton, Trippier, Keane, Shackell, Mee, Kightly, Arfield, Jones, Boyd, Barnes, Ings.
Akiba: Lafferty, Duff, Wallace, Vokes, Reid, Jutkiewicz, Gilks.
Refa: Kevin Friend
Manchester United vs Burnley:
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni