IVORY COAST 0 vs 0 GHANA, IVORY COAST MABINGWA AFCON 2015 WASHINDA KWA MIKWAJU YA PENATI(9-8)
Kipa wa Ivory Coast Boubacar Barry akifunga bao la mwisho kwa mkwaju wa penati na kuipa Ubingwa Nchi yake kwa kutwaa Kombe la AFCON 2015.Sisi mabingwa 2015!! Ayew akifanya yake..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni