BENDI ya muziki wa Dansi ya Malaika chini ya Christian Bella ‘Obama’
usiku huu ilitoa Burudani kali ya kukata na shoka kwenye ukumbi wa
Lina's Night Club Bukoba ikiwa ni kumalizia sikukuu za X-mass siku ya
Boxing Day" na kuwapagawisha mashabiki kwa shoo kali na ya nguvu.
Onyesho hilo lililoanza saa mbili usiku ambapo Malaika Bendi walikuwa wakiwapa ladha mashabiki kwa kupiga kopi mbalimbali ya nyimbo za Kikongo zinazobamba.
Ilipofika saa nne na nusu ukumbi ulilipuka kwa shangwe baada ya kiongozi wa bendi hiyo Christian Bella kupanda jukwaani kwa wimbo wake wa Yako Wapi Mapenzi ambao ulisababisha mashabiki kuinuka katika viti vyao na wale ambao walikuwa wakinyemelewa na usingizi kuamka.
Bella alizidi kuwapagawisha mashabiki kwa kupiga nyimbo kali mfululizo ambazo zinatamba katika redio na vyombo mbalimbali vya habari ukiwemo Nani Kama Mama, Yako wapi Mapenzi, Msaliti, Usilie na nyingine kibao.
Mfalme
wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ akifanya yake usiku huu siku ya
sikukuu Boxing Day kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club, Bukoba uliopo
Bukoba mjini.
Madansa wa Malaika Music bendi wakifanya yao.
Christian
Bella Christian Bella 'Obama' achengua mashabiki kwa kutoa Burudani
kwa kuimba wimbo wa Nani kama Mama ambao uliamsha Shamra Shamra katika
Ukumbi wa Lina's Night Club usiku huu wa Boxing Day' katika kumalizia
sikukuu za x-mass na kusonga kuoona mwaka Mpya 2015.
Wanenguaji wa Malaika Band wakiwajibika kwenye ukumbi wa Lina's Night Club usiku huu wa
Boxing Day Ijumaa.

Dada nao hawakuwa nyuma

Jamal na Mkewe nao walikuwepo ukumbin Lina's Night Club kushuhudia Bendi hiyo Live
Jamal kalumuna akiwa meza kuu

Mtu wa Watu Ben Mulokozi

Nyomi ya Mashabiki walijitokeza kwa wingi katika Ukumbi huo wa Burudani Lina's Night Club.

Wadau wa Muziki wa Dansi...Bendi..

Wafanyakazi wa shirika la Cosad nao walitokelezea kwa namna yao siku ya Boxing Day na hapa walipata picha na Bella
Vinywaji vilitembea ukumbini hapo
Wadau
usipime!

Mwandaaji wa Shoo Mc Jerry akitokelezea na Mkali wa Masauti Bella

Onyesho hilo lililoanza saa mbili usiku ambapo Malaika Bendi walikuwa wakiwapa ladha mashabiki kwa kupiga kopi mbalimbali ya nyimbo za Kikongo zinazobamba.
Ilipofika saa nne na nusu ukumbi ulilipuka kwa shangwe baada ya kiongozi wa bendi hiyo Christian Bella kupanda jukwaani kwa wimbo wake wa Yako Wapi Mapenzi ambao ulisababisha mashabiki kuinuka katika viti vyao na wale ambao walikuwa wakinyemelewa na usingizi kuamka.
Bella alizidi kuwapagawisha mashabiki kwa kupiga nyimbo kali mfululizo ambazo zinatamba katika redio na vyombo mbalimbali vya habari ukiwemo Nani Kama Mama, Yako wapi Mapenzi, Msaliti, Usilie na nyingine kibao.
Boxing Day Ijumaa.

Dada nao hawakuwa nyuma

Jamal na Mkewe nao walikuwepo ukumbin Lina's Night Club kushuhudia Bendi hiyo Live

Mtu wa Watu Ben Mulokozi

Wadau wa Muziki wa Dansi...Bendi..

Wafanyakazi wa shirika la Cosad nao walitokelezea kwa namna yao siku ya Boxing Day na hapa walipata picha na Bella

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni