AFCON 2015: MAKUNDI YAPANGWA! WENYEJI EQUATORIAL KUNDI A KUUMANA NA CONGO-BRAZZAVILLE.
Wababe msimu wa 2013DROO ya kupanga Makundi ya AFCON 2015, Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika imefanyika huko Malabo Nchini Equatorial Guinea. Wenyeji Equatorial Guinea wako Kundi A
pamoja na Congo-Brazzaville, Gabon na Burkina Faso na wao ndio
watacheza Mechi ya ufunguzi hapo Januari 17 dhidi ya Congo-Brazzaville. Mechi ya Fainali ya Mashindano haya itafanyika hapo Februari 8. KUNDI A Equatorial Guinea Congo-Brazzaville Gabon Burkina Faso KUNDI B Zambia DR Congo Cape Verde Tunisia KUNDI C Ghana Senegal South Africa Algeria KUNDI D Ivory Coast Guinea Cameroon MaliEquatorial Guinea mwenyeji mwezi Januari.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni