KOCHA DAVID MOYES ASHUHUDIA TIMU YAKE MPYA REAL SOCIEDAD WAKIFANYA MAZOEZI!
Kocha mpya wa Real Sociedad, David Moyes akiangalia vijana wake wapya kwenye Mazoezi leo hii. David Moyes alikaribishwa na kiongozi Lorenzo Juarros huko San Sebastian kribu sana...Moyes alipewa nafasi ya kuinoa timu hiyo kwa miaka 18 Klabuni hapo Real SociedadKwenye Mazoezi... karibu Real Sociedad
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni