.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 5 Agosti 2015

Tagged Under:

Mastaa wa soka na vioja vyao Uwanjani>>Balotelli, David Luiz na Ibrahimovic na wamo…

By: Unknown On: Jumatano, Agosti 05, 2015
  • Share The Gag


  • Wachezaji mpira ni miongoni mwa watu maarufu sana kutokana na kazi yao kupendwa au kuwa na mashabiki wengi kutoka sehemu mbalimbali, miongoni mwa vitu ambavyo huwezi kuvidhania kama unaweza kuviona kwa mastaa wako wa soka ambao umezoea kuwaona wakiwa katika muonekano uliozoeleka kuonekana labda wakiwa katika mechi au matukio ya kawaida.
    Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii list ya mastaa wa soka waivyoamua kujiachia kwa vioja kabisa.
    Dani Alves
    download (1)
    Dani Alves aliwahi kuvaa wigi wakati akisherehekea ushindi wa Timu yake ya Taifa
    Andrey Arshavin
    download (2)
    Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal anatajwa kuwa sio miongoni mwa watu wanaouchukulia mchezo wa mpira wa miguu serious.. Ndani ya Uwanja akaona afanye kioja kupindisha uso wake.
    Mario Balotelli
    download (3)
    Chochote anachokifanya Balotelli huwa hakiko mbali na headlines za Waandishi wa Habari.
    Antonio Cassano
    download (4)
    Antonio Cassano akishangilia ushindi wa goli 2-0 Italy ilivyoifunga Ufaransa katika michuano ya Euro 2008.
    Zlatan Ibrahimovic
    download (6)
    Zlatan Ibrahimovic wakati alipovua nguo Uwanjani bila hofu kabisa.
    Stephen Ireland
    download (7)
    Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester City Stephen akishangilia goli kwa staili ya kuvua bukta
    David Luiz
    download (8)
    David Luiz beki ghali wa klabu ya PSG ya Ufaransa akishangilia goli

    0 maoni:

    Chapisha Maoni