
Mesut Ozil
Ligi kuu ya Uingereza inaanza tena siku
ya jumapili wakati ambapo mabingwa wa ligi hiyo Chelsea wanakutana na
washindi wa kombe la FA Arsenal katika kombe la Charity Shield
itakayogaragazwa katika uwanja wa Wembley.
Mechi hiyo inajiri siku 64 baada ya kumaliza ligi hiyo na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Aston Villa katika fainali ya FA.
Pande
zote mbili hazijafanya usajili mkubwa katika msimu huu ijapokuwa kipa
Petr Cech ataanzishwa dhidi ya timu yake ya zamani Chelsea.
Makipa - Emiliano, David Ospina na Petr Cech
Chelsea vilevile inaweza kumuanzisha mchezaji wao mpya Radamel Falcao.
Falcao
mwenye umri wa miaka 29 alihudumu katika kilabu ya Manchester United
msimu uliopita lakini hakuweza kutamba kwani aliweza kufunga mabao 4
katika mechi 29 alizocheza pekee.
Siku
ya jumapili itazikutanisha timu hizo mbili huku mkufunzi wa Arsenal
akitarajia kuishinda timu inayofunzwa na Mourinho kwa mara ya kwanza
kati ya mechi 13 walizocheza huku wakufunzi hao wawili tayari
wakitofautiana. Mourinho alisema kwamba Arsenal imetumia fedha nyingi
msimu huu ikilinganishwa na Chelsea katika kipindi cha miaka kadhaa
iliopita ,huku Wenger akijibu kwamba hasikizi kile watu wanachosema ama
kufikiri.
Aaron Ramsey

Ramsey kwa furaha wakati wa mazoezi

Mesut Ozil

Kocha Arsene Wenger akiwacheki Vijana wake wakati wa mazoezi

Aaron Ramsey akiwa kona akiwapigia wenzake kona

Gabriel

Hector akivutwa shati na Iwobi

Ozil

Jeff nae kafanya mazoezi na kulia ni Aaron Ramsey

Flamini

Gibbs

Chambers

Per Mertesacker na Laurent

Jeff na Iwobi nao wakijifua

Chambers akibadilishana mawazo na wenzake
0 maoni:
Chapisha Maoni